NJIA TATU ZINAZOELEKEA MBINGUNI
JE ZOTE ZINAFIKA?
(1) IJUMAA :- WANAYOPITA WAISLAMU
(2)JUMAMOSI – WANAYOPITA WAADVENTISTA –
WASABATO
(3)JUMAPILI – MADHEHEBU ZOTE ZA JUMA PILI?
Je
, Mungu anazikubari zote?
Zakaria 12:6 “Siku hiyo itawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama Kigae chenye moto katika kuni na kama kinga cha moto
katika miganda ; Nao watatekeleza watu kila kabila wazungukao pande zote,
upande wa mkono wa kuume na upande wa mkono wa kushoto ; Na baada ya hayo
Yerusalem utakaa mahali pake, naam Hapo Yerusalem”
-
Njia
ya kwanza Jumamosi (sabato):-
ilianza kupitika mnamo tarehe ya 7/1/1
wa uumbaji Mwanzo 2:1-3 “Basi mbingu na
Nchi zikakamilika . Na siku ya saba Mungu alimaliza akaibariki siku ya saba
akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe” (mwanzo – 2: 1- 3)
-
Yuda 1:3 Njia hii ilitolewa Mara moja tu. “Wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii
kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi sote, naliona imenilazimu
kuwaandikia ili niwaonye kwamba Muishindanie imani waliyokabidhiwa watakatifu
mara moja tu. (Yud 1:3) Imani hii ilitolewa na Mungu mara moja “kama mlivyoitwa katika tumaini moja la
mwito wenu. Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja. Mungu mmoja naye ni Baba wa
wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. (Efe. 4: 4 – 6).
njia ya kwanza ni sabato (jumamosi) ambaye mwanzilishi wake ni Yesu kristo “Akamwambia sabato ilifanyika kwa ajili ya
mwanadamu . Basi mwana wa Adamu ndiye bwana wa sabato pia. “Marko 2:27-28)
yeye huyu Yesu anao uhakika wa kuwafikisha watu mbignuni ndio maana anasema “Msifadhaike mioyoni mwenu; Mnamwamini
Mungu niaminini na mimi, Nyumbani kwa Baba yangu mna makao mengi kama si hivyo
ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia makao. Basi mimi nikienda na
kuwaandalia makao nitakuja tena niwakaribishe kwangu ili nilipo mimi nanyi
muwepo. (Yoh. 14:1-3) “Yesu
akamwambia Mimi ndimi njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya
mimi. (Yoh14:6.) Hivyo anawaalika wote kupita katika njia hii. “Na kondoo wengine ninao ambao si wazizi
hili, Na hao nao imenipasa kuwaleta na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako
na kundi moja na mchungaji mmoja (Yoh 10:16) watu wote hata wewe msomaji
mnaitwa kupita njia hii.
Hata katika kitabu
cha Mkusanyiko wa madhehebu ya kiprotestandi kiitwacho METHODIST. Kinasomeka:- “Madhehebu sio ya Mungu, hayajawahi kuwa na
hayawezi kuwa kamwe , ni roho mbaya anaewatenganisha watu wa mungu katika
madaraja ya makasisi na washiriki.
Kwa hiyo basi ni roho mbaya anayewabagua watu wa watu .
Hivyo ndivyo shirika na Madhehebu yafanyavyo. Katika
kujiundia madhehebu . wao hujitenga na neno la mungu na kujiingiza katika
uzinzi wa kiroho na kulikataa neno la kiroho (Methodist Uk 197 aya
2.
Askofu Peter Kitura
wa AIC katika kitabu cha Jumapili au Jumamosi ameandika. “Neno sabato /shabath kwa kiebrania au sabatoo kwa kiyunani lina maana
ya mapumziko au siku ya mapumziko asili ya mapumziko yaani sabato haya ni
katika kitabu cha mwanzo (Mwanzo 2: 1-3. kama tulivyosoma hapo kwanza )
anaendelea kwa nuru ya mistari hii Mungu
mwenyewe alipumzika alihitaji siku moja ya kustarehe baada ya kazi yake ya
uumbaji iliyomchukua siku sita. Kutokana umuhimu wa kupumzika kwake akaitakasa siku
hiyo ya saba . Neno takasa lina maana ya kuweka wakifu au kutenga kwa ajili ya
matumizi matakatifu, yaani matumizi maalum yanayokusudiwa na Mungu au kuondoa
unajisi (sura 1 aya 1)
Yeye mwenyewe
nalielewa ingawa najaribu kutafuta sababu za kukwepa.
Si wakiristo tu walijua hii lakini hata katika vitabu wa
ndugu zetu waislamu limeandikwa.
Njia ya kwanza ya sabato ya J.mosi koroani sura 4 aya 4 (4:47) “Enyi mliopewa kitabu Aminini tuliyowatelemshia
yanayosadikisha yaliyondani kabla hatujazigeuza nyuso zenu tukazipeleka
kisogoni au kabla ya kuwalaani kama tulivyowalaani watu walioharibu utukufu wa
J.mosi na amri ya mwenyezi Mungu ni lazima kufanywa. Ingawa ndugu zetu
Waislamu hili hawajalitii (koroani sura 4:154 ufafanuzi ‘c’ ) Na baada
ya kutoka katika hiyo miji na vijiji ya shamu waliambiwa waazimishe hiyo
siku ya jumamosi kuwa waifanye kuwa siku ya Ibada na siku ya kufanya kazi”
Hata waislamu
wameagizwa kutii Amri hii ya kutofanya kazi siku ya sabato (Jumamosi) “Na kwa yakini mmekwisha kujua habari za
wale walioasi miongoni mwenu katika Amri ya kuheshimu Jumamosi. Basi
tukawaambia kuweni manyani madhabilifu (koroani 2:65)
Hivyo kwa mujibu wa
koroani wale wote wasioiheshimu Amri ya kuitunza Jumamosi ni manyani wasio na
akili. Siamini nawe mpendwa kama unaridhika kuwa hivyo. Njoo ujiunge na wasafiri
waendao mbunguni.
NJIA YA PILI : JUMA PILI
Njia hii ilitumika
mwaka 150 B.K. Dondoo kutoka katika
kitabu cha Muongozo wa wakatoriki.
Misala ya Waumini
yana msingi wake katika maandiko ya Mtakatifu Yustino Mzaliwa wa Nchi ya Siria, ambaye alikuwa Mwalimu wa
Filosofia katika muji wa Roma. Ndiye
yeye aliyeeleza mkutano wa siku ya bwana ndio Dominica au Jumapili mnamomwaka
150 B.K
Mimi ndimi njia na kweli na uzima”
Maelezo haya
yanaonyesha dhahili hakuna ukubali wa Biblia juu ya Ibada ya jumapili isipokuwa
ni mapokeo kutoa kwa watu huku akijiita ndiye njia.
Tazama ushahidi
mwingine katika kitabu cha AIC Jumapili au J,mosi Uk.45.
“Siku ya sabato au Jumamosi yesu alikuwa kaburini. Siku
ya kwanza ya juma Yaani Jumapili alifufuka kutoka kwa wafu. Kwa kuwa sabato
ilikuwa Jumamosi kwa kalenda ya kiyahudi siku ya pili yake iliyotengwa na Mungu
kuwa siku ya Pentekoste ilikuwa siku ya
Jumapili. Wayahudi walijijua hivyo na kanisa linajua hivyo. Huko Troa
Wakristo walianza kuabudu siku ya kwanza ya juma (Juma pili) pamoja na
kumsikiliza Paulo akihubiri neno la Mungu walikuwa na Ibada ya ushirika kwa
kusema, hata tulipokuwa tumekutana hata kuumega mkate mwandishi wa kitabu cha
matendo ya mitume Luka alionyesha ilikuwa siku ya ibada haikuwa siku ya kuagana
tu kama Wakristo wenzetu Wasabato wanavyodai” Nukuu hii ni katika
kutafuta namna ya kutafuta kupindisha maandko matakatifu. Hebu tuangalie katika
Biblia Luka ameandika nini? “jumamosi
jiono tulikutana ili kuumega mkate, kwa vile Paulo alikuwa amekusudia kkusafiri
kesho yake; aliendelea kuwahutubia watu hata usiku na kuendelea kuongea nao
hadi usiu wa manane” Mat 20:7. (Kiswahili cha kisasa) hii inaonyesha
kuwa ilikuwa ni ibada ya kuhitimisha
siku ya Sabato. Wala haikuwa jumapili bali siku ya jumamosi.
Jumapili ni siku ya
kwanza ya juma, siku ya kufanya kazi wala sio siku ya Ibada. “Naye alipofufuka siku ya kwanza yajuma
alimtokea kwanza Mariamu Magdarena ambaye hapo kwanza alimtoa pepo saba, huyo
akashika njia akawapasha habari wale aliokuwa pamoja naenao wakali wanaomboleza
na kulia. Lakani hao waposikia kwamba yu hai hawakusadiki. Baada ya hayo
aliwatoke watu wawili miongoni mwao akiwa na sura nyingine; nao walikuwa
wakishika njia kwenda shambani” Mark. 16:9-16. (Kiswahili cha kisasa.) hivyo ni dhahili kuwa jumapili ni siku ya
kufanya kazi ndio maana hata hawa wanafunzi wa yesu walikuwa wanakweda
shambani.
Lakini Jumapili
inaonekana kushamili sana siku za leo kama siku ya Ibada, chini ya kiongozi wa
Madhehebu zote za j,pili. Kamusi ya Kiswahili
sanifu inasomeka hivi. “mtaguso:
mkutano maalumu wa wakuu wa kanisa la katoriki ambao unawea kubadiri sheria kwa
ruhusa maalum ya papa.” Uk. 327.
Papa anayetajwa hapa
ndiye kiongozi wa kanisa Katoriki. Kitabu cha muongozo wa kanisa katori;
Katekisimu ndogo uk. 26. “Siku hizi
nanai ni mwandamizi wa viongozi hao? Jibu: Papa… Askofu
wa Roma ndiye mwandamizi wa mtume Petro na maasikofu ndio waandamizi wa
Mitume.”
Kiongozi wa wakatoriki wote ni Papa na
ndiye amekuwa mstari wa mbele katika kupindua na kupotosha maandiko
Matakaatifu.tazama jinsi anavyojichukulia cheo cha Mungu Mkuu. Katika kitabu
cha Papa ni nani? Uk.26. kinasomeka “Kwa
kuwa Askofu wa Roma kwa haki ya kimungu anao Ukuu wa kitume na kanisa zima
tunafundisha hivyona kutangaza yey ndiye
hakimu mkuu wa waumini wote. Ambaye kwake rufaa ya mambo yote yaliyo
katika uchaguzi wa kanisa yanaweza kufanywa. Hukumu ya papa haina rufaa, kwa
kuwa mamlaka iliyo kuu zaidi” Je,
mpendwa neon hili ni dogo na jepesi kiasi cha kutolitafakali vuzuri? Kitendo
cha mwanadamu mwenye kufikiwa na kifo kujitangaza kama
hakimu mkuu. Nafasi na cheo cha Mungu
aliye BWANA pekee?
Hii ndio sababu hata ya kudiriki mkubadil
sheria takatifu za Mungu. Amri ya NNE ya Mungu inatutaka kuitakasa na kuitunza
sabato ya jumamosi wao wakatangaza ibada ya jumapili kinyume na Mungu.
Kitabu cha Wakatoriki. Misale ya waumini
uk.1) “… kwa hiyo tangu siku ile aliyofufuka
bwana kanisa linatuita siku ya kwanza ya juma ndiyo dominika” maana yake
siku ya bwana j,pili.
Wameliacha Kanisa la BWANA na Amri zake
nakugeukiaka miungu mingine ya jua na sanamu. “Ndipo akanileta mpaka mlangoowa kuingilia katika nyumba ya BWANA,
uliolekea upande wa Kaskazini, na tazama wanawake wameketi wakimlilia Tamuzi.
Akaniambia mwanadamu umeyaona haya? Utaona tena machukizo makubwa kuliko hayo.
Akaniletaa mpaka hua wa ndani wa nyumba ya BWANA, na tazama mlango pa Hekalu la
BWANA, kati ya ukumbi na Madhabahu, walikuwapo watu kama ishirini na
watanowamelipa kisogo Hekalu la BWANA, na nyuso zao wameelekeza upande wa
mashsriki, nao wanaliabudu jua, kwa kuelekea upande wa mashariki. BAsi
akaniambia umeyaona haya Ee, mwanadamu? … wafanye machukizo wanayofanya hapo? Kwa
maana wameijaza nchi hii kwa udhalimu, tena wamerejea nyuma ili kunikasirisha;
na tazama wanaliweka tawi puani. Kwa sababu hiyo Mimi nami nitatenda kwa
ghadhabu; jicho langu halitachilia wala sitaona huruma, na wajapolia, na
wajapolia masikioni mwangu kwa sauti kuu, sitawasikia.” Eze. 8:14-18.
Maneno haya ya Biblia yako wazi
yakionyesha jinsi gain watu wameacha maagizo ya Mungu na kugeukia ibada za
miungu. Tazamaa kitabu hiki cha Wakatoriki (Katekisimu kubwa uk.484.)
kinavyosomeka. “Sisi sote tunakkusanyika
siku ya jua, ndio siku ya kwanza baada ya Sabato ya Kiyahudi lakini pia siku ya
kwanza ya juma.”
Nji hii inayoongozwa na Papa ambaye hana
hatima ya wafuasi wake ila katika hukumu ya milele, maana ndio mwisho wa njia
yake. Kitabu cha Wakatoriki (Mungu
na Wanadamu toleo la pili. Uk.195.
“Kanisa katoriki litadumu mpaka lini? Jibu:
litadumu mpaka mwisho wa Dunia.” Mwanzilishi
wa njia hii ni mroma na ndiye anaye elezea mwisho wa njia yake kuwa ni pale
Yesu atakaporudi mara pili, wala haitaingia mbinguni wala haitakuwepo tena. Unajua kwa nini? Kwa sababu hata mafundisho
yake ni ya mapokeo ya wanadamu yaliyochanganywa na Neno la Mungu kidogo ili
kuwapumbaza watu Kitabu cha mwongozo wa wakatoriki, (katekisimu ndogo. Uk.
12) “Kanisa Katoriki uchota mafundisho
ya Mungu wapi? Jibu: Kanisa katori
uchota mafundish ya Mungu :-
1: Maandiko
matakatifu.
2: Na katika mapokeo.
Uf. 22:18 inasomeka
“Namshhudia kila anayesikia maneno ya unabii wa kitabu hiki, mtu yeyote
akiyaongeza Mungu atamwongezea, hayo mapigo yaliyoandikwa kitabu hiki. Na mtu
yeyote akiondoa lolote katika neon la unabii wa kitabu hiki Mungu atamwondolea
sehemu yake katika mti wa uzima, na katika ule Mji mtakatifu ambao habari zake
azimeandikwa katika kitabu hiki.
Wameacha Neneo la Mungu
wameandama Mapokeo yaliyo maneno ya wanadamu. Nao wamelitimiza neneo la BWANA
alilonena kwa kinywa cha Nabii Isaya. “Wawaambiao
waonaji msione; na manabii msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno
laini, hubirini maneno yadanganyayo.” Isa. 30:10.
“Maana utakuja wakati watakapo yakataa mafundisho yenye
uzima; Ila kwa kufuata nia zao wenyewe watajipatia walmu makundi makundi, kwa
kuwa wana masikio ya utafiti; nao wataiepusha wasisikie yaliyo kweli; na
kuzigeukia hadithia zaz uongo.” 2Tim.
3:3-4.
Hii ndio njia ya pili. Juma pili
inayobebamafundisho ya mapokeo ya watu (viongozi wa dini) Nao wanawapeleka watu
katika upotevu. “kwa maana wawaongozao
ndio wawakoseshao, na hao waliongozwa na waatu hao wameangamia.” Isa.9:16.
NJIA YA TATU IJUMAA-WAISLAMU.
Njia hii ya alah nayo inaelekea mbinguni,
na watuwanaoipitia wanamfuata mtume Mahamad.
Njia imejikita katika Mafundisho ya watu.
Maana Muhamad mwenyewe hakuwa anajua kusoma wala kuandika. Basi alitoa wapi
mafundisho yake. “Na wakasema ni ni visa
vya watu wa zamani alivyo viandikisha Muhamad kwani yeye mwenyewe hajui
kuandika wala kusoma hajui. Alivyosimuliwa asubuhi na jioni kasha
yeyeanawasimulia watu akisema ,ameyatelemsha haya yule ajuaye siri za mbinguni
na ardhini. Bila shaka yeye ni mwingi wa msamaa.’ Koroani sura 25 aya5-6. “ Ambao wanamfuata mtume. Nabii aliye
Umi(maamuma) asiyejua kusoma wala kuandika , na juu ya hili atafundisha
mafundisho mafundisho hayo ya ajabu ya
iuslamu.” (koroan. Sura 7 aya 157.)
Njia hii ilianza kufuatwa mwaka wa 610 B.K. “Tarehe 17 mwezi 12 mwaka 610. Utume
uliletwa.” (kitabu cha maisha ya nabii Muhamad Uk 1). Utume huu uliletwa kwa mtu
huyu ili awaongoze wanaojua kusoma na kuandika wala hawazingatii kuchunguza
kile wanachoagizwa kukifuata. Yako maneno ambayo yako wazi wala hayahitaji
Elimu kubwa kuyaelewa, kama hapa. “Je, nimfanye mola wangu asiye kuwa
mwenyezi Mungu, ambaye ni muumba wa mbungu na ardhi ambaye ulisha wala
harishwi? Hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu. Na
nikaambiwa nisiwe miongoni mwao wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu.” Je, mtu huyu awezakuwa kweli nabii
wa BWANA Mungu aliye muumba wa mbingu na nchi? Ikiwa hana uhusiano naye tena
amezuiwa kumshirikisha yeye aliye Mola? Mmu! Inatia shaka.
“Kwa
maana kuna wengi wasiotii wenye maneno yasiyo na maana., wadanganyaji, na hasa
wale wa tohara ambao yapaswa wazibwe vinywa vyao. Wao wanapindua watu wa nyumba
zima, wakifundisha yasiyo pasa kwa mapato ya aibu, mtu wa kwao nabi wao wenyewe…
Wanakili kwamba wanamjua Mungu, lakini kwa matendo yao wana kana: ni wenye
machukizo, waasi wala kwa kila tendo jema hawafai.” Tit. 1:10-12,16. Kwa namna hii hata
mafundisho yao
hayatokani na MUNGU.
“Na wengi kati yao
hawamwamini Mwenyezi Mungu, isipokuwa na huku wanatia ushirikina. (ufafanuzi: Na haya hata
hapa petu tunayo japo tunafuata uislam lakini lakini tunatia ushirikina pia,
tunakwenda makaburini tukayaambia Ee, bwana nimezongwa na …… ukinifungua …..
nitaleta hapa pesa au kombe la harua. Anasikia wapi huyu maiti?...”) koroani. Sura 12 aya 106.
“wala hawawi sawa walio hai
na wafu. Kwa yakini mwenyezi Mungu umsikilizisha yeye amtakaye, na wewehuwezi
kuwasikilizisha waliomom makaburini, na hao kama
wamekufa wamo makaburini.” Koroan.
Sura 35 aya 22.
Kumbuka
mpendwa mtu yule asiyejua kuandika wala kusoma ndiye aliyeandikisha haya iili
wale wanajua kusoma na kuandika wasome. Je, litakuwa kosa lake au kosa la
waliandikiwa kutosoma na kutafakali hayo waaliyoandikiwa? Ili
wajiepushe hata kujiponya nafsi dhidi ya udanganyifu mkubwa huu wa kumtumainia
mungu asiyekuwa muumba wa mbingu na nchi. Maana mungu huyo wanayeelekezwa
kumuabudu ni mungu wa mji wa dunia hii ya dhambi tu. “Bila sha nimeamlishwa nimwabudu mola wamji huu wa Maka.” Koroan. Sura27aya91.
Lakini
Mungu wa kweli yeye yko Mbinguni. “Lakini
MUNGU wetu yuko Mbinguni, alitakalo lote amelitenda.” Zab.115:3.
Ujajua
Muhamad hata ukitafuta katika Koroan hakuna maali alipoitwa na Mungu kuwa nabii
il yeye ndiye anajita kwa nabii. Lakini Manabii wa Mungu waliitwa na Mungu.
“…Ambao wanamfuata nabii
aliye umi (maamuma) asiyejua kusoma wala kuandika na juu ya haya atafundisha
mafundisho hayo ya ajabu ya uislamu.” Koroan.
Sura 7aya157. Mafundisho yasiyokuwa na wokovu maana hayafundi kumtii Mungu wa
Mbinguni, leea aya tuliyoisoma katika koroan hapo nyuma.
Ukisoma
katika Koran sura ya 3aya ya 19. wanasema kuwa dini ya haki ni Uislam (wa
ijumaa). Lakini ni nani aliyeanzisha dini hii. “Hawaabudu baada ya kumuacha Mwenyezi Mungu, ila waungu wanawakw.Wala
hawamuabudu (Mungu) ila Shetani asianayewaanzishia hayo., ambaye Mwenyezi Mungu
amemlaani. Naye shetani alisema kumwabudu Mwenyezi Mungu kwa hakika niashika
sehemu maalum katika waja wako na nitawapoteza nanitawatumainisha na
nitawwaaminisha ninavyotaka mimi. Basi watakata masikio ya wanyama wawafanye
kuwa wanyama watukufu. (kama wanavyofanya
ngamia waislamu) nitawaamuru pia, nao
wataibadii dini yako Mwenyezi Mungu.” Koroan. Sura 4aya117-121. sasa
unaweza kujua kuwa watu hawa wamebadilishwa na Shetani hata kuacha kumuabudu
Mungu wa Mbinguni Katika dini yake na kutunza utakatifu wa sabato (jumamosi) na
kugeukia ijumaa. Na hapa wamejipatia mafundisho ya uongo ili kuwapoteza. “Na miongoni mwao kuna baadhi yao
wanaopinda ndimi zao kwa kusoma vitabu ili mppate kuyafikiri maneno yao hayo
kuwa ni ya kitabu cha Mwenyezi Mungu, … kumbe si sio kitabu cha Mwenyezi Mungu,
wanasema haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu kumbe hayatoki kwa Mwenyezi Mungu.
Wanamsingizia … uongo na hali wanajua kwamba huo ni uongo.” Koroan.
Sra3aya78. Je, ni uongo gain
wanaoufanya. “Yeye Alah ndiye aliyetelemsha kitabu. Ndani
yake zimo aya mukamu(nyepesi kufaamika) na zipo nyinine stashabiha yaani za kubabaishia, kama
habari za ahela na za peponi na za motoni na mengineyo yanayohusika na roho.
Wale ambao moyoni mwao mna upotovu wanafuata wanafuata zile ambazo zinababaishia.
Kwa kutaka kuwaharibu watu…” koroan. Sura 3aya 7.
Je,
unajua huko peponi na ahela ni wapi? Au ni mbinguni Ebu tuone koroani
inatuambiaje!
Tuanze kungalia Peponi: Mfano wa pepo walioahidiwa Wacha mungu ni
itakuwa hivi. Imo mito ya maji yasiyovunda na mito ya maziwa yasiyoharibika
radha yake na mito ya ulevi yenye radha kwa wanywao na mitoya Asali
iliyosafishwa, tena humo watapata matunda ya kila namna na zamaradi kuttoka kwa
mola wao. Basi wale watakuwa sawa na walio motni na kunyweshwa maji yachemkayo.
Koroan. Sura 47aya15.
Ooh! Nmna hiihakuna hja ya kusumbuka kuifuata
njia hii maana ni kujitesa bule na mwisho ni adhabu sawa na watenda dhambi
wengine.
Habari gain kuhusu Ahela. (‘fafanuzi: jehanamu ni jina la moto
maalumu huko ahela)” koroani sura 78aya 21. basi kama ahela kuna moto wa jehanamu hukumu ya hao watakkao kuwa huko itakuwa
kuangamia kwa moto wa huo. Kwa hakika hakuna tumaini la wokovu kwa wanao ifuata
njia hii maana ni njia ya uangamivu. Maana ikiwa uko usawa kati ya wadhambi na
wema siku ya hukumu, njia gain hiii kuifuata isiyo na tumaini la Uzima.
Unafahamu hili kuwa hata Mtume muhamad
hakujua hatima ya njia aliyoinzisha. “Mimi
sio kiloja mpya katika mitume, wala sijui nitakavyofanywa mimi wala sijui mtakavyo fanywa ninyi.” Koroani.
Sura 4 6aya 9.
Kwa kuwa hajui hatima yake kama Mitume
wa Yesu walivyojua. Ni nini
hatima yautume wake? Maana Mitume wa Yesu wao walijua hatima yao “
Kwa maana Mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika. Nimevipiga
vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumalliza, Imani nimeilinda; baada ya hayo
nimewekewa taji ya haki ambayo BWANA mhukumu wa haki, atanipa siku ile; wala si
mimi tu na watu wote waliopenda kufunuliwa kwake. 2Tim.4:6-8.
Lakini
tazama tumaini la Mhamad aliye mtume wa uislam: “Lakini wanangojea jingine la kuwajia mfano wa siku za adhabu
zilizowafika watu aliopita kabla yenu. Basi mimi nami niko pamoja nanyi katika
wanaongojea.” Koroani sura10aya 102. Kwa nini wanangojea adhabu? … Hakika adhabu ya kuivunja taadhima ya
Jumamosi iliwekwa juu ya wale waliohitarafiana kwa ajili ya hiyo Jumamosi na
kwa hiyo Mola wako atahukumu baina yao
siku ya kiyama.” Koroan. Sura 16 aya 124.
Kwa sababu ya kuikataa sheria aliyopewa Musa Nabii wa Mungu, ingawa
waliijua.
“Amekupeni shria ya dini ile
ile aliyomhusia Nuhu na tuliyokufunulia wewe na tliyomhusia Irahimu na Musa na
Isa, kwa simamisheni dini wala msifarakane kwayo.” Koroani sura 42aya13. Lakini rafiki unajua
kuwa hata Alah mungu wa Waislamu
atachomwa katika moto wa jehanamu? Tazama kitabu cha waislam cha Hadthi
za mtume: uk.1071. “ … Jehanamu
itaendelea kusema, je, kuna nyongeza? Mpaka alah subuana wataalaatakapoweka
mguu wake na hapo atasema inatosha?
Inatosha na hapa kwa nguvu yako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana.” Ikiwa
yeye aliye mungu wao ataangamia katika moto wa milele?! Si zaidi hao wafuasi
wake? Njoo kwa Yesu yeye amekwenda kuwaandalia makao wote wamchao na kutoka
huko atakuja kuwachukua akaishi nao milele zote.
Lakini
habari gain kuhusu Jumapili? Katika kitabu cha muunganiko wa Madhehebu ya
kipentekoste, kiitwacho: METHODIST. Uk.191 na 192. kinasomeka hivi:- “Unajua nini tunaelekea katika upande huo
leo. Kanisa Katoriki la Rumi ujiita kanisa mama; linajiita kanisa la kwanza ama
kanisa la awalli. Hivyo ni kweli tupu. Lilikuwa ndilo kanisaasi la kwanza la
Rumi llililoanguka na kuuingia dhambini, lilikuwa la kwanza ambalo liliunda madhehebu ndani yake kulionekana matendo ya Wanilolai
na aadae mafundisho ya wanikolai.
Hakuna mtu anaweza kukana
kuwa ndilo mama. Hilo ni mama na llimeza mabinti, basi binti utokana na
mwanamke. Mwanamke aliyevaa mavazi ya nyekundu na anketi juu ya vilima saba.
Yeye ni kahaba na amezaa mabinti (Ufu.
17:3-5akanichukua katika roho hata jangwani nikaona mwanamke, ameketi juu ya
mnyama mwekundu sana,
mwenye kujaa majina ya makufuru menye vichwa saba na pembe kumi. Na mwanamke
yule likuwa amevikwa nguo za rangi ya Zambarau, na nyekundu… alikuwa na kikombe
cha dhahabu mkononi mwake klichojawa na machukizo . na katika kipaji cha uso
wake aliuwa na jina lililoandikwa kwa siri, BABELI MKUU, MAMA WA MACHUKIZO NA
MACHUKIZOYA NCHI.) Mabinti hao ni makanisa ya kiprotestanti yalitoka kwake a kasha yakarudi moja kwa moja kwenye
Madhehebu ya wanikolai. Mama huyu wa makanisa binti anaitwa kahaba, huyo ni
mwanamke ambaye hakuwa mwaminifu kwanadhiri yake ya ndoa, aliolewa na Mungu
alafu akaenda kufanya uasherati na Ibirisi. Na katika uasherati wake amezaa
mabinti walio kama yeye kabisa. Muungano huu
wa mama na binti ni upinga Neno, upinga
Roho, kwa sababu hii ni upinga kristo.
… Kabla sijaendelea mbali nataka kusema kwamba. Hawa
Maaskofu wa mwanzo walidhani kuwa wao walikuwa
juu ya neon wao waliwambia watu kuwa wao waliweza kuwasamehe dhambi zao.
Hiyo haikuwa kweli Walianza kubatiza watoto wachanga katika karne ya pili. Si
ajiabu watu leo hii wamechanganyikiwa, ikiwa walikuwa wamechanganyikiwa namna hiyo wakati huo karibu sana na
wapentekoste wamo katika hali mbaya sana sasa kuliko nyakati zilizopita wakiwa umbali yapata kama miaka 2000, kutoka
kwake wakiwa wameacha ile kweli ya asisli.
Hivyo ndivyo hasa kanisa katoriki lilivyo
fanya wao waliwaua wale ambao wangektaa kutii utawala wa kipapa. Wale waliotaka
maneno ya Mungu badala ya maneno ya watu, waliwaua mara nyingi kwa njia za
kikatili. Lakini Kanisa hili ambalo lilishughulika na Mauaji lilikuwa lenyewe
llimekufa na halikuwamo na uhai ndani yake wala ishara lililopata kufuatana
nayo.
Sura
hii inaonyesha nguvu ya kanisa Katoriki la Rumina yale litakayoyafanya kwa
kupitia kwenye Shirika. Kumbuka huu ndio
ule mzabibu wa uogo acha ulitaje tu jina
la BWANA. Wanafanya hivyo kwa uongo, uongozi wao ni wake sio wa BWANA bali ni
wa Shetani.” Methodist.
Uk.191-2.
Kurasa hizi zinaeleza ukweli wa kile
ambacho kwa wale wenye nia ya kutafutaa wokovu wataona sababu ya kuiangalia njia
ya kweli. Unajua nini, kwamba ni kweli kuwa madhehebu zote za Kiprotestanti
tayali zimekwisha jiunga na umoja wa Makanisa, ambayo muu wao ni Papa yule
waiyetoka kwake na sasa wamerudi na kuwa nchini yake. Pengine ndio maana
Mwandishi anasema wamekwisha rudi kwa mama yao. Ingawa wameziba masikio wasisikie wala
kuwaambia watu wanaowaongoza juu ya hatari iliyo juu yao. “Watu
wangu wamekuwa Kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha
milimani wamekwenda toka mlima hadi kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika (Raha).” Yer.50:6. Raha yao iko wapi? “Basi, imesalia Raha ya Sabato kwa Watu wa Mungu.” Ebr.4:9.
Je,
njia ipi itaingia Mbinguni?
“Kama vile mbingu mpya na
nchi mpya, nitakazo zifanya, zitakavyokaa mbele zangu asema BWANA wa, ndivyo uzao
wenu na jina lenu litakavyokaa. Na itakuwa mwezi mpya hata mwezi mpya, na
Sabato hata Sabato,wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.” Isa. 66:22-23.
Mpendwa Sabato ya siku ya saba (jumamosi)
ndiyo njia ya kweli na sahii ya
kukufikisha Mbinguni, ungu mwenyewe ndiye mwanzilishi wake, Yeye ni msabato,
Malaika zake ni wasabato, Manabii Musa, Eliya, Nuhu, mitume wa Yesu ni wasabato
kama Yesu alivyokuwa. Mbinguni wote ni wasabato. Njoo ujiunge na
kundi la watunza sabato uwe nawe kundla Mungu.
No comments:
Post a Comment