JINSI MAJASUSI WALIVYOANZISHA MATUMIZI YA VIDONGE
Utumiaji wa vidonge ulianzishwa na majasusi , ili kutengeneza faida bila kujali kwamba vidonge ni sumu kwa afya ya mtumiaji. |
Miaka ya 1930, Morris A. Bealle aliyekuwa mhariri wa zamani gazeti la Washington Times and Herald nchini marekani,alikuwa msimamizi wa gazeti maarufu ambalo liliingiza mapato makubwa sana kwa matangazo ya Kampuni ya nishati kila wiki.
Katika mapato yaliyokuwa yakikusanywa mwisho wa mwezi, kampuni hiyo ilionekana kama tegemeo kubwa la gazeti hilo .
Siku moja habari za malalamiko ya wananchi dhidi ya huduma mbovu za kumpuni hiyo yalianza kuandikwa na gazeti hilo .
Bealle, alipata vitisho,vikali kutoka kwa kampuni iliyotengeneza matangazo ya kampuni hiyo ya nishati kuambiwa kama ataendelea kuandika habari “zilizo nje ya mfumo” wa kampuni hiyo, si kwamba ataondolewa katika mkataba wa matangazo tu, bali kusitishwa katika huduma za kampuni ya gesi na ya huduma za simu.
Hapo ndipo macho ya Bealle yalifunguka kuhusu “uhuru wa vyombo vya habari”,hatimaye akaacha kazi kwasababu alikuwa na uwezo mzuri kiuchumi.
Kupitia uzoefu wake kitaaluma aliamua kufanya utafiti kuhusu uhuru wa vyombo vya habari na kuja na tafiti kuu mbili
1. Habari kuhusu Vidonge (The Drug Story)
2. Nyumba ya Rokifila. (House of Rockefeller)
Kitabu kilichofunua siri kali ,jinsi jamii ya siri ya Majasusiwalivyosambaza utumiaji wa madawa ya kisasa (vidonge)ambayo ni hatari kwa afya yamwanadam |
Pamoja na uzoefu katika ulimwengu wa uhariri hakuweza kuandika mafunuo yake mpaka alipoanzisha kampuni yake binafsi iliyoitwa Idara ya uchapishaji –Kolombia, Washinton D.C. ,mwaka 1949.
Pamoja na kitabu cha Habari kuhusu Vidonge kuwa katabu cha pekee katika masuala ya Siasa na Afya nchini Marekni, kamwe hakijawahi kupelekwa katika maktaba kuu za vitabu wala kuzungumziwa katika magazeti ya marekani.
Kwa upande wa uuzaji , kitabu hiki pekee kiliuzwa kwa njia ya mizigo iliyosafirishwa kupitia shirika la Posta. Pamoja na hayo , kitabu hiki baada ya kuingia sokoni katika toleo lake la 33 kilikuwa kikitoka katika lebo tofauti kama vile Biworld Publishers, Orem na Utah
Baelle alibainisha kuwa kwa miaka 1960, biashara iliyoingiza faida asilimia sita (6%), ilikuwa ni biashara kubwa sana .
KAMPUNI YA JAMII YA SIRI (MAJASUSI) ILIYOITWA NGOME YA MADAWA YA ROKIFILA (The Rockefeller Drug Empire) iliingiza faida Dolla za marekani Milioni 23.4 baada ya kulipa Kodi katika mali za thamani ya Dola milioni 43.1. sawa na asilimia hamsini na nne (54%) .
Kampuni ya Skwibu (Squib) amayo pia iko chini ya Rokifila (Kampuni ya majasusi) iliingiza faida ambayo si asilimia 6 bali asilimia 576 (576%) katika thamani
Faida hii ilitokana na juhudi za Daktari mkuu wa Upasuaji , ofisi ya Jemedari wa jeshi pamoja na Taasisi ya Madawa Na Upareshei ya Navi (Navy Bureau of Medicine and surgery) Taasisi hizi hasikuwa tu zikihimiza wattu watumie vidonge, lakini walilazimisha sumu za vidonge katika damu za Wanajeshu wa Marekani , wasafiri wa majini na mabaharia.
“Je ni ajabu , kwamba Rokifila, na vitengo vyao vya vya biashara (mbovu) ya vyakula na madawa, Jumuiya ya Afya Ulaya, Taasisi Kuu ya Biashara, Taasisi ya Madawa ya Navi, na maelfu ya maafisa wa dawa nchi nzima , kuunganika na kupinga aina zote za tiba zipingazo matumizi ya vidonge?” Aliuliza baelle.
Baelle aliendelea kubainisha kwamba katika kipindi hicho “Ropoti ya mwisho wa mwaka ya Faundesheni ya Rokifila”, ilionyehsa zawadi (tuzo) ilizotoa katika vyuo na taasisi za umma katika miaka 44 iliyopita, thamani yake ilizidi dola nusu bilioni.
Vyuo hivi vilianza kufundisha ujuzi wa kutumia madawa ambayo Famasi za Rokifila zilihitaji ufundishwe. Tofauti na hapo hukukuwa na tuzo, kama vile vyuo visivyo vya kawaida 30 katika jumuiya ya Ulaya vilivyokosa tuzo kwa kutofundihsa tiba zilizoegemea katika utumiaji wa vidonge.
Baadhi ya vyuo maarufu vilivyopewa fedha na kampuni hii ya Kijasusi ili kuhimiza utumiaji wa madawa ya kisasa ni:
· Havadi, pamoja na shule yake ya Tiba ambayo maarufu sana , ilikuwa imepokea Dola Milioni 8.7 kutoka Taasisi ya Fedha za Madawa ya Rokifila.(Rockefeller’s Drug Trust Money )
· Yale, chuo kilipewa Dola Milioni 7.9
· John Hopkinss, kilipokea Dola Milioni 10.4
· Chuo Kikuu cha Washintoni huko Mt.Louis, kilipewa Dolla Milioni 2.8
· Chuo Kikuu cha New York Kolombia , kilipewa Dola Milioni 5.4
· Chuo Kikuu cha Korneli , kilipokea Dolla Milioni 1.7 n.k
Pamoja na “kugawa” vitita vya fedha kwa vyuo vilivyosambaza propaganda za utumiaji wa vidonge , madhumuni ya Rokifilla yaliendelea kukua katika mtandao wa dunia nzima kuliko mtu yeyote awezavyo kugunda.
Kwa zaidi ya miaka 30, ilikuwa ni kiasi cha kutosha kwa Baelle kugundua Makusudio yaliyoanzishwa na Rokifila, na kuendelezwa katika Kampuni kubwa isiyoweza kufikiriwa namwanadam.
Rokifila inamiliki jumuiya kubwa ya kuzalisha madawa ya kisasa Duniani kote, na hutumia madhumuni yao mengine yote kukuza uuzaji wa madawa. Ukweli kwamba zaidi ya aina 12,000 za madawa tofauti (ya kisasa) katika soko ni sumu, si wazo la wazalishaji wa madawa...
Itaendelea...