Mapema mwaka huu, kanisa la Waadventista Wasabato kupitia uongozi wa kanda ya Mashariki (ETC) limeanzisha shule ya sekondari mkoani morogoro ambayo tayari inawanafunzi zaidi ya 30 wa kidato cha kwanza.
Kwa mujibu wa mmojawapo wa watenda kazi katika shule hiyo iitwayo Kitungwa Sekondari alisema usajili tayari uko katika mchakato na unatarajiwakukamilika hivi karibuni kwani masharti yaliyotakiwa kutimizwa tayari yameshakamilishwa.

No comments:
Post a Comment